Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo na matumizi.Karibu upate muongozo wa jinsi ya kutumia Kuza Business App Kukuza Biashara Yako.

https://youtu.be/ulLmShto_nc

Karibu Kuza Business, Karibu Ushirikiane Na Sisi Kukuza Biashara Yako.